Tukio la kufuturu kwa wapendwa wetu watoto yatima |
Watoto katika picha ya pamoja wakifurahia baada ya futari na kupokea zawadi mbalimbali ikiwemo chakula na vinywaji toka Pambana Group
Wanapambana wakiwakabidhi watoto yatima hao zawadi kwa ajiri ya matumizi kituoni kwao Watoto hao walipokea vyakula unga kilo 50, sukari 25, Mafuta lita 5, sabuni ya unga kilo 25, sabuni ya maji lita 5 na vinywaji kwa watotot hao.
Uwajibikaji katika chakula ukiendelea kwa pamoja
Wadau wakuu na wadhamini wa Kikundi Airtel nao hawakuwa nyuma kujumuika katika siku hiyo ya kufuturuisha watoto yatima eneo la Area D - Dodoma.
Tukio muhimu la kupata chakula likiendelea kwa pamoja
No comments:
Post a Comment