Monday, 20 March 2017

SHUGHULI ZA MAZINGIRA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MWAKA 2016 ENEO LA TUKIO MANISPAA YA DODOMA - MPUNGUZI


Kikundi kilishiliki katika utunzaji wa mazingira katika chanzo cha maji katika bwawa la Matumbuli kata ya Mpunguzi.5/6/2016
Wananchi nao waliunga mkono zoezi hilo kwa kujitokeza kwa wingi kishiliki zoezi la upandaji miti.






Mwonekano wa bwawa la Matumbulu bwawa la asili ambalo limekuwa chanzo cha maji kwa wakazi wa eneo hilo kwa miaka mingi, ambapo Pambana Group  tulionelea kwenda kufanya maazimisho siku ya mazingira Duniani kwa kupanda miche ya miti 100 kandokando ya Bwawa hilo.

Mhe. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Dodoma akipanda mche wa mti katika kutunza chanzo cha maji kandokando ya bwawa la Matumburu Kata ya Mpunguzi.
Shughuli ya uchimbaji mashimo ikiendelea.


No comments:

Post a Comment