Monday, 20 March 2017

Picha za matukio ya kikundi katika ushiriki wa maonesho ya wajasiriamali ya kanda ya mashariki yaliyofanyika mjini Dodoma chini ya usimamizi wa SIDO, Pambana walishiriki




Baadhi ya wanapambana walipotembelea banda lao la maonesho

Wanapambana wakitoka katika mabanda ya maonesho
Mhe. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles John Mwijage akiweka saini katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Pambana Group.

No comments:

Post a Comment