Tuesday, 21 March 2017

Picha za Matukio mbalimbali siku ya uzinduzi kwa kikundi viwanja vya shule ya Umonga sekondari - Dodoma

Siku ya uzinduzi uliendana na maonesho ya bidhaa mbalimbali za kikundi katika sherehe za uzinduzi wa Kikundi
Picha ya pamoja ya wanapambana na wageni waalikwa sambana na mgeni rasmi Mst. Meya wa Manispaa ya Dodoma watatu toka kushoto akifuatiwa na Mhe. Diwani wa Kata ya Majengo.
Viongozi wa Pambana wakiagana na Mst. Meya baada ya shughuli za uzinduzi wa Kikundi.



Mgeni rasmi Mst. Meya akiwasili eneo la tukio tayari kwa uzinduzi kwa Pambana Group.






Mwenyekiti wa pambana akitoa neno mbele ya umati wa wageni waalika siku ya uzindizi.



Wanapambana wakiwa teyari kwa kuwakaribisha wateja katika banda la bidhiaa siku ya uzinduzi.


Mgeni rasmi Mst.Meya akisikiliza kwa umakini Hotuba ya wanapambana siku hiyo ya uzindizi.


Wanapambana wakifuatilia kwa umakini matukio yanayojili siku ya uzinduzi wa Kikundi chao.



Mst. Meya akipeana mkono na Mhe. Diwani wa Kata ya Majengo baada ya nasaha chache kwa wanapambana siku hiyo.




Burudani haikukosekana siku ya uzinduzi muonekano wa jukwaa lililotumisha kwa watumbuizaji kutoa burudani wa watu waliohudhuria siku hiyo.




Mst. Meya sambamba na Mhe. Diwani wakiangalia bidhaa zinazozalishwa na pambana group na kupata maelezo ya uzalishaji wake.


Mgeni rasmi Mst. Meya akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili eneo la viwanja vya shule ya msingi Kaloleni Manispaa ya Dodoma.



Kati ya wateja waliofika banda la maonesho ya bidhaa akipata maelezo ya ubora wa bidhaa za pambana product.








Burudani ya muziki haikuwa mbali kuwatumbuisa wageni waalikwa na wananchi waliohudhulia uzindizi huo.

Wananchi wakisikiliza mbano yanayoendelea siku ya uzinduzi






Mhe. Diwani wa Kata ya majengo Bw. Mayaoyao akitoa neno wa wanapambana.

Mwenyekiti wa Pambana Group akimkabidhi kipaza sauti Mhe. Diwani.








Wasanii wa Kizazi kipya wa mji wa Dodoma walitoa burudani wa wananchi walioshiliki sherehe ya uzinduzi.


Katibu wa pambana akipeana mkono na wageni meza kuu baada ya kusoma Risara kwa mgeni rasmi.



No comments:

Post a Comment