Katibu wa Kikundi cha Muungano
kilichopo kijiji cha Oloboloti kata ya Mrijo Halmashauri ya Chemba Mkoani
Dodoma kinachojishughulisha na mradi wa kilimo cha nyanya aliyenyoosha mikono
katikati Bw Juma Ally akitoa maelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana
wa tatu kutoka kushoto Bi Amina Sanga katika ziara ya kukagua miradi ya Vijana,
ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yanayotolewa na Wizara ya Habari Vijana,
Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Vijana. Katibu wa Kikundi cha Umoja
kinachojishughulishana mradi wa ufugaji wa mbuzi kilichopo katika kijiji cha
Oloboloti katika Halmashauri ya Chemba Mkoani Dodoma Bw. Issa Mwinjo wa kwanza waliosimama
mbele akitoamaelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa tatu kutoka
kushoto Bi Amina Sanga.
No comments:
Post a Comment