Friday, 29 September 2017

Mwenyekiti Baraza la vijana awataka vijana kujiunga na vikundi vya ujasiriamali



Mwenyekiti Baraza la vijana awataka vijana kujiunga na vikundi vya ujasiriamali
Mwenyekiti Baraza la Vijana  Taifa Khamis Rashid Kheri  amewataka vijana  kujiunga na vikundi vya ujasiriamali kuepusha wimbi la ukosefu wa ajira nchini na kuacha tabia ya kushiriki katika  vitendo viovu ambavyo  vinahatarisha usalama wa taifa.
.
Akizungumza na Zanzibar 24, amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa hivyo si vyema kujishirikisha na vitendo vya madawa ya kulevya pamoja na kuwataka wazee kuacha tabia ya kuwaogopa watoto wao.

No comments:

Post a Comment