Tuesday, 21 March 2017

Shughuli za kijamii zifuanywazo na kikundi katika jamii

 Wanapambana wakishika mche wa mti wa pamoja uliopandwa kwa niaba ya pambana Group.



 Mwenyekiti wa mtaa wa Kitenge Kata ya Majengo hakuwa nyuma katika kuwaunga mkono vijana wake wa pambana.


 Wanafinzi wa shule ya msingi Kaloleni Manispaa ya Dodoma wakipanda mti wa pamoja kuweka kumbukumbu yao.



 Mhe. Diwani wa Kata ya Majengo Bw. Mayaoyao akaona haiwezekani kazi impite pasipo kushiriki nae akajumuika kupanda mche wa mti wa matunda shuleni hapo kaloleni manispaa ya Dodoma.





No comments:

Post a Comment