UWEKEZAJI KATIKA KILIMO
NI CHACHU YA UKUAJI WA TANZANIA YA VIWANDA NCHINI
Katika kuelekea katika msingi wa
Tanzania ya viwanda, Three Siters Oil
Mill Co Ltd kwa Ufadhili wa Shirika la USAID, Technosery, pamoja na Safe
wameweza kuwafikia wananchi 600 katika
Vijiji vya Kidoka, Mondo, Dalai na Tandala Wilayani Chemba Mkoani Dodoma, kwa
kutoa Elimu juu ya Uzalishaji, Uvunaji Bora wa zao la Alizeti na uhifadhi wa
malighafi toka shamba kwa kuepuka na kujikinga na SUMUKUVU (Aflatoxins) katika Mazao.
Habari picha zikionesha wananchi wakipata mafunzo ya uhifadhi bora wa mazao katika vijiji ndani ya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma.
Bw. Athuman Ally mmoja wa waongozaji toka Three Siters Oil Mill Co Ltd - Dodoma katika moja ya picha katika shamba la Alizeti.
No comments:
Post a Comment