Katika Kuazimisha miaka 50 ya Benki ya Taifa ya Biahara (NBC). Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philipo Mpango aliwaomba wakuu wa Benki hiyo kuona sasa ni namna gani ya Benki hiyo kuisaidia
Serikali katika harakati za kuelekea katika Uchumi wa Viwanda nchini kwa
Benki hiyo kuweza kuwasaidia Wajasiriamali inchini kwa Uwezeshaji wa
Mikopo nafuu wa Riba ndogo. Aidha aliwapongeza watumishi wa NBC kwa
ubunifu na kuwekeza katika Mtandao (Kieletronik) katika makusanyo ndani
ya Halmashauli nchini.
No comments:
Post a Comment