Katika ufakikisha wanadodoma tunaendana sambamba na Maendeleo ya Mji wa Dodoma katika ujenzi wa Makao Makuu ya nchi Dodoma.Wanadodoma wameonelea kuanzisha Taasisi itakayo simamia shughuli za kiuchimi kwa wanadodoma.
Habari picha zikionesha wadau wa Uwezeshaji wananchi kiuchumi kikao cha tatu (3) kilichofanyika tarehe 28/3/2017 ukumbi wa Shule ya Dodoma Sekondari. Kubwa lililofanyika ni maadhimiyo ya kuunda Taasisi ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ndani ya Dodoma itakayo simamia shughuli za kiuchuni Dodoma.
No comments:
Post a Comment