Sunday, 30 April 2017

UJASIRIAMALI NA TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA

Katika kuelekea Uwekezaji wa Tanzania ya Viwanda inawezekana kwa kupitia harakati hizi na Serikali kuunga mkono Mapambano ya Vijana katika Miradi, Elimu ya uendeshaji Miradi na Masoko ya Bidhaa.

Picha za matukio ya Vijana katika Ujasiriamali nchini.
 Mwenyekiti wa Furaha ya Wanawake Wajasiriamali kwa Viziwi Tanzania (FUWAVITA) akionesha Bidhaa wanazo zitengeneza. Shime tuunge Mkono harakati za Wajasiriamali nchini na kukuza pato la Taifa Letu,



Ufugaji wa Kuku unalipa Jamani changamoto zipo ila uzingativu wa Kanuni za Ufugaji wake unatoka Kiuchumi.

Muongozo wa Chanjo za Dawa kwa Kuku kuanzia siku ya kwanza mpaka kufikia kutaga



Saturday, 29 April 2017

MOTO WARUDISHA NYUMA HARAKATI ZA MAISHA YA WAJASIRIAMALI SOKO LA MIEMBENI - DODOMA


Kwa mujibu wa Shuhuda wetu ambaye alifika eneo la tukio majira ya saa Tano na dakika 15 usiku na kushuhudia hali ya moto unavyo teketeza mabanda ya wafanyabiashara wadogowadogo wa vifaa vya magari vilivyo tumika, maduka madogo madogo ya bidhaa za Chakula sambamba na mabanda ya Chakula ya Mama Lishe ambapo sehemu kubwa yakiteketea kwa moto mkubwa.

Chanzo cha moto huo inasemekana ulianzia katika mojawapo ya Kibanda cha Mama Lishe kisha kuenea kwa haraka katika mabanda mengine kutokana na upepo uliokuwa ukivuma majira hayo ya usiku, Moto uliendelea kuteketeza mali za Wajasiriamali hao kwa kasi kubwa hasa ukisingatia sehemu kubwa ya bidhaa katika mabanda hayo ilikuwa ni vifaa vyenye mchanganyiko wa mafuta ya mitambo (Oil).

Kamera yetu ilishuhudia juhudi kubwa za Kikosi cha zimamoto cha Mkoa wa Dodoma wakipambana kuzuiya Moto huo kutoenea na kuelekea Eneo la Kituo cha Mafuta kilichapo umbali mfupi toka eneo la mabanda hayo.

 Baadhi ya Wajasiriamali waliofika Asubuhi ya leo eneo la tukio kujalibu kuangalia angalau Kitukilicho bakia katika mabanda yao.
 Hali ya Moto ilivyokuwa Usiku wa kuamkia leo ulioteketeza sehemu kubwa ya mabanda hayo.
Wamiliki wakipitia pitia asubuhi ya leo kujalibu kuangalia masalia katika mabanda yao.

Moto moto ukiteketeza mali wa Wajasiriamali 




Kikosi cha Uokoaji na Zimatoto Mkoa wa Dodoma kikipambana kikamilifu kuzuiya Moto huo usiendelee kuleta madhara katika maeneo mengine


Baadhi ya Wananchi wakishuhudia uharibifu uliotokana na Moto eneo la soko la Miembeni - Majengo Dodoma, Usiku wa kuamkia leo 28/4/2017.


Monday, 24 April 2017

TUMEAMUA HAKIKA TUNAWEZA FULSA ZIKITUMIKA



















HABARI PICHA ZA VIJANA WAFANYAO SHUGHURI ZAO ENEO LA STANDI YA MABASI YA MKOA - DODOMA KATIKA UZINDUZI WA KIKUNDI CHENYE MLENGO WA KIUCHUMI





















Sunday, 16 April 2017

Sikuu ya Pasaka Katika Mji wa Dodoma Hari ilivyo mitaani hivi sasa

Matikio Katika picha Wanadodoma wakishereheka kwa Sikukuu ya Pasaka katika viwanja vya Nyerere Square.



 Umati wa Wanadodoma Pasaka ikienda vyema pasipo matatizo.



 Suala la usalama Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma wamejipanga vyema kwani maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa matembea kwa mkuu asikali wamejipanga kwa kuwavusha kama ilivyokutwa na kamera yetu Eneo la Standi ya Daladala ya Jamatini askari wamesimamavyema kwa kazi nzuri kama inavyo onekana pichani. 

Katika barabara kubwa hari nishwari magari nimachache na yapo katika mwendo wa usalama zaidi.